Kiungo wa kimataifa wa Hispania anayeichezea Man United ya England Juan Mata jina lake limerudi kwenye headlines baada ya kufanyiwa upasuaji wa groin, Mata ambaye mwanzoni mwa wiki hii alikuwa …
NI ALAMA za nyakati ambazo kocha George Lwandamina anatakiwa kuzisoma kuhusu ubora wa wachezaji wake. Baadhi ya watu wanasema nyota wengi wa kikosi cha Yanga SC umri ‘umew…
JESHI la Polisi mkoani Simiyu, linamshikilia mkazi wa Bariadi mkoani hapa, Joyce Mganga (60), kwa kosa la kuwachoma moto wajukuu zake kwa kutumia panga la moto. Kaimu Kamanda wa Polisi mkoa…
Baada ya kusimama kwa muda wa takribani wiki tatu kupisha michuano mbalimbali ya kimataifa kwa ngazi ya timu ya taifa na klabu, kadhalika michuano ya Kombe la Azam Sports Federation Cup, Ligi …
MSHAMBULIAJI WA SIMBA, LAUDIT MAVUGO. MSHAMBULIAJI wa Simba, Laudit Mavugo, amesema ana uhakika wa kufunga kwenye mchezo wa kesho wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Kagera Sugar. Mchezo h…
WAKATI ushindi wa aina yoyote dhidi ya Azam FC leo Jumamosi utawapeleka mabingwa watetezi Yanga SC katika kilele cha msimasmo wa ligi kuu Tanzania Bara, Simba SC kesho Jumapili watakuwa uwanja…
Dkt Elly Macha (Enzi za uhai wake) Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Viti Maalum (CHADEMA) akiwakilisha walemavu Dkt. Elly Macha amefariki dunia baada ya ku…
Siku chache baada ya kuibuka hofu kuwapo kwa uwezekano wa Shirika la Umeme nchini (Tanesco) kuikatia nishati hiyo Zanzibar kutokana na deni inalodaiwa, visiwa hivyo vimepata matumaini …
Waziri Mkuu wa Ethiopia, Hailemariam Dessalegn anatarajiwa kuwasili nchini kesho, Machi 31 kwa ziara ya kitaifa ya siku mbili kufuatia mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania…
Jay Moe amewataja Vanessa Mdee, Lady Jaydee na Aika wa Navy Kenzo kuwa ndio wasanii wa kike anaowakubali zaidi kwa sasa na ambao angependa kuja kuwashirikisha siku moja kwenye kazi zake. “Hao n…
Rapper Nay wa Mitego, Alhamis hii aliitikia wito wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt Harrison Mwakyembe kukutana naye mjini Dodoma kwaajili ya kuzungumza namna ya kuuboresha wim…
Timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 17 ‘Serengeti Boys’ imepata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Burundi kwenye mechi ya kirafiki ya kimataifa iyochezwa kwenye uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba mko…
Baada ya Rais mpya wa FIFA, Gianni Infantino kutaka kuwepo kwa timu 48 ambayo ilikua ni moja ya ahadi zake katika kampeni. Chama cha soka duniani FIFA kimepanga kuwepo kwa michezo sita ili zipat…
KAMPUNI ya udalali ya Majembe Auction Mart imepanga kuzipiga mnada nyasi bandia pamoja na magoli ya timu ya Simba SC kutokana na kukaa bandarini kwa muda mrefu bila kuchukuliwa na wahusika. …
MABINGWA watetezi Yanga SC inatarajia kukutana na timu ya Azam FC wikiendi bila Nyota wake muhimu wa kikosi cha kwanza. Kocha Msaidizi wa Yanga, Juma Mwambusi amefafanua swala hilo kuwa anaandam…
Kocha Mkuu wa Yanga, George Lwandamina amesema pamoja na kuandamwa na majeruhi mfululizo, kikosi chake kitakuwa sawa. Lwandamina amesema washambuliaji wawili wa kati wameendelea kuwa ma…
BARAZA la Madiwani wa Mji Mdogo wa Chalinze mkoani Pwani limepongeza hatua zilizochukuliwa na serikali kudhibiti wadudu aina ya viwavijeshi waliovamia Wilaya ya Bagamoyo mwanzoni mwa mwezi…
Kocha Arsene Wenger ameauambia uongozi wa Arsenal kwamba anataka kuendelea kubaki Emirates kwa miaka miwili. Katika mkutano pamoja na uongozi wiki iliyopita, Wenger ameweka wazi yake ya …
Roma amekanusha madai ya mashabiki wa muziki kuwa ameufyata mkia na kuacha kuichana serikali kwenye nyimbo zake kama zamani kutokana na serikali ya awamu ya tano kuto’entertain’ mambo hayo! Rap…
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, Jumanne hii ameanza kuhojiwa na Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kujibu tuhuma zinazomkabili za kuingilia Haki, Uhuru na Madaraka …
Chama cha Soka Visiwani Zanzibar “ZFA” kimesimamisha kutoa zawadi ya mpira kwa…
KIKOSI cha Azam wikiendi hii wataikaribisha Yanga kwenye mchezo wa ligi kuu ambao utapigwa Aprili Mosi kwenye Uwanja wa Taifa, Dar ambapo mechi hiyo inatarajiwa kuwa na ushindani kutokana na …
Inawezakana ulikuwa unajiuliza kwa nini kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Salum Mayanga hakumuanzisha mshambuliaji Mbaraka Yusuf sambamba na Ibrahim Ajib wakati mechi ya kwanza alianzisha wash…
Winga wa mtanzania Farid Musa anaekipiga kwenye klabu ya Tenerife ya nchini Hispania amesema changamoto kubwa anayopambana nayo tangu ametua Hispania ni lugha inayotumiwa na taifa hilo. Far…
Siku chache baada ya msanii Harmorapa kupata Ubalozi wa kinywaji kinachoitwa cider ‘swala’, Mwanasheria maarufu Alberto Msando ambaye amekuwa akizishughulikia kesi za watu maarufu kama Wema …
Baada ya tetesi zilizojitokeza hivi karibuni kuwa uongozi wa Yanga upo katika mipango ya kuwachukua wachezaji wa Simba, kiungo Jonas Mkude na mshambuliaji Ibrahimu Ajibu, mabosi wa wache…
Kocha wa timu ya taifa ya Uholanzi, Danny Blind hatimaye ametimuliwa kufuatia muendelezo wa matokeo mabaya kunako timu hiyo. Maamuzi hayo yamekuja baada ya kipigo cha 2-0 kutoka kwa Bulgaria ju…
Mr T Touch amethibitisha kumsajili Young Dee kwenye lebo yake, Touchez Sound Records kwa miaka mitatu. Mtayarishaji huyo wa muziki amekiambia kipindi cha E-News cha EATV Ijumaa hii kuwa yeye at…
Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo, Dkt Harrison Mwakyembe, amedai kuwa Rais Dkt John Magufuli ameagiza kuachiwa huru kwa Nay wa Mitego. Dkt Mwakyembe aaedai kuwa Rais amemuambia amu…
MKONGWE kwenye muziki wa Hip Hop Bongo, Joseph Haule ‘Profesa Jay’ ameibuka na kusema kuwa, wasanii mahasimu wakubwa, Nasibu Abdul ‘Diamond’ na Ali Kiba ndiyo wanauoa muziki wa Bon…
Waziri wa Mpya wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe ameanza kazi katika Wizara mpya. Lakini Dk Mwakyembe ambaye kitaalamu ni
Nay wa Mitego amedai amekamatwa na polisi wilayani Mvomero, Morogoro alikokuwa ameenda kwaajili ya show. Hajasema sababu ya kukamatwa kwake lakini watu wanahisi ni kutokana na wimbo…
Klabu ya Simba Sports Club imejiwekea utaratibu wa kila mwezi kutoa tuzo ya heshima na zawadi kwa mchezaji ambaye anakuwa amefanya vizuri katika mwezi husika ili kuwapa motisha wachezaji wao …
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Joseph Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, Prof. Justin Ntalikwa kuanzia leo tarehe 26 Machi 2017. …
Baada ya rappa Nay wa Mitego kutoa taarifa kupitia ukurasa wake wa instagram kwamba amekamatwa na taarifa hizo kuthitishwa na jeshi la polisi, Bongo5 imezungumza na familia ya rappa huyo pamoja na…
Social Plugin