Producer kutokea Wasafi Records, Laiza ametaja orodha ya wasanii aliofanya nao kazi kabla ya kujiunga na WCB.
KUNA kumlipua mtu, lakini huku kulipua kwingine ni sawa na kurusha bomu la nyuklia kwenye nyumba ya adui yako na kuisambaratisha kiroho mbaya.
Kupitia mtandao wa Twitter wa Mwandada huyo ameonesha mapenzi ya wazi wazi ya ushabiki wake kwa Mwanamuzili Aslay kwa kuandika "Aslay ni Mfalme wangu wa Bongo Fleva🙌🏿🙌🏿 Ni Moto🔥Anaunguz…
Diamond Platnumz amefunguka kwa kudai kuwa hataki mtoto wake wa kike Tiffah awe msanii kwa madai akiwa msanii atatembea kimapenzi na wanaume wengi. Muimbaji huyo amedai mtoto wake huyo akiwa…
Septemba 18, 2015, kwa mara ya kwanza Davido alitweet kueleza ujio wa collabo yake na Joh Makini. April 3, 2017, Davido pia alipost picha Instagram inayoonesha kuwa wawili hao wameshoot video ya …
Msanii wa muziki nchini anayefanya vizuri na wimbo ‘Komela’ Dayna Nyange amechukua tuzo mbili za BEA nchini Nigeria zilizotolewa weekend iliyopita. Muimbaji huyo amechua tuzo ya Best African Art…
Eric Shigongo ameendelea kutoa ushauri kwa Alikiba na uongozi wake Soma alichoandika awamu hii: Kama nilivyosema kwa Diamond kwenye ushauri wangu kwamba alifikishwa hapo alipo na mashabiki …
Kwa sasa umekuwa ni mtindo wa kawaida watu kuwafungulia watoto wao akauti Instagram ili kuwawekea picha zao. Leo ningependa kukuletea top ten ya watoto wa wastaa ambao wapo Instagram, orodha imep…
MSANII wa Bongo Fleva anayetrendi katika mitandao ya kijamii Bongo, Athuman Omary ‘Hamorapa’, jana jumamosi katika viwanja vya Escape One Kinondoni Jijini Dar es Salaam, alionekana kumga…
Kumbe Alikiba na waziri mpya wa fedha wa Afrika Kusini, Malusi Gigaba ni watu wa karibu! Hitmaker huyo wa Aje amempongeza waziri huyo kupitia mtandao wa Instagram kwa kuchaguli…
Jay Moe amewataja Vanessa Mdee, Lady Jaydee na Aika wa Navy Kenzo kuwa ndio wasanii wa kike anaowakubali zaidi kwa sasa na ambao angependa kuja kuwashirikisha siku moja kwenye kazi zake. “Hao n…
Roma amekanusha madai ya mashabiki wa muziki kuwa ameufyata mkia na kuacha kuichana serikali kwenye nyimbo zake kama zamani kutokana na serikali ya awamu ya tano kuto’entertain’ mambo hayo! Rap…
Siku chache baada ya msanii Harmorapa kupata Ubalozi wa kinywaji kinachoitwa cider ‘swala’, Mwanasheria maarufu Alberto Msando ambaye amekuwa akizishughulikia kesi za watu maarufu kama Wema …
Mr T Touch amethibitisha kumsajili Young Dee kwenye lebo yake, Touchez Sound Records kwa miaka mitatu. Mtayarishaji huyo wa muziki amekiambia kipindi cha E-News cha EATV Ijumaa hii kuwa yeye at…
MKONGWE kwenye muziki wa Hip Hop Bongo, Joseph Haule ‘Profesa Jay’ ameibuka na kusema kuwa, wasanii mahasimu wakubwa, Nasibu Abdul ‘Diamond’ na Ali Kiba ndiyo wanauoa muziki wa Bon…
Nay wa Mitego amedai amekamatwa na polisi wilayani Mvomero, Morogoro alikokuwa ameenda kwaajili ya show. Hajasema sababu ya kukamatwa kwake lakini watu wanahisi ni kutokana na wimbo…
Baada ya rappa Nay wa Mitego kutoa taarifa kupitia ukurasa wake wa instagram kwamba amekamatwa na taarifa hizo kuthitishwa na jeshi la polisi, Bongo5 imezungumza na familia ya rappa huyo pamoja na…
Usiku wa Ijumaa hii Diamond alifanya show kubwa ambayo ilihudhuriwa na umati mkubwa wa watu waliojitokeza kutoka sehemu mbalimbali katika mji wa Muscat nchini Oman. Hizi ni baadhi ya picha za…
Social Plugin