Klabu ya Simba Sports Club imejiwekea utaratibu wa kila mwezi kutoa tuzo
ya heshima na zawadi kwa mchezaji ambaye anakuwa amefanya vizuri katika
mwezi husika ili kuwapa motisha wachezaji wao na kuwapa moyo wa kufanya
vyema.
Katika mwezi wa pili, Simba Sports Club imemtangaza mchezaji wake Abdi Banda kuwa ndiye mchezaji bora wa mwezi wa pili.
0 Comments