Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Joseph Pombe Magufuli
ametengua uteuzi wa Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, Prof.
Justin Ntalikwa kuanzia leo tarehe 26 Machi 2017.
Katibu Mkuu Ntalikwa aliteuliwa Desemba 2015 na kuapishwa Ikulu Januari 2, 2016.
Kwa mujibu wa taarifa ya Ikulu, nafasi yake itajazwa hapo baadaye.
0 Comments