Serikali kupiti Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi Teknolojia, William Ole Nasha amesema lengo la serikali huko mbeleni kadiri uwezo utakavyo ruhusu itatoa elimu bure hadi chuo kikuu.
Ripoti iliyotolewa na Umoja wa Mataifa (UN) imesema Watoto Milioni 152 ulimwenguni wanalazimika kufanya kazi badala ya kwenda shule.
Kamanda wa polisi kanda maalum ya dar es salaam, SACP Lazaro Mambosasa amesema kuwa kazi ya jeshi ni kusimamia sheria, kuna kamati mbalimbali ambazo ni kusimamia maadili kwa wanaopokea rushwa, …
Hali ya Ukeketaji mkoa wa Manyara imefikia asilimia 70.8 kutoka asilimia 58 mwaka jana,hali ambayo ni mbaya zaidi licha ya jitihada za serikali na Mashirika binafsi kutoa elimu juu ya madhara ya ku…
Kamishna wa Maadili, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Jaji Mstaafu Harold Nsekela amesema kuwa wamefanya uchambuzi ambapo kwasasa zaidi ya viongozi 900 wanahakikiwa mali zao. Akizung…
Mtu mmoja aliyetambulika kwa jina la Maricha Mniko(30) Mkurya dereva na mkazi wa Tandala Wilayani Makete anashikiliwa na jeshi la polisi Mkoani Njombe kwa tuhuma za kujifanya ni Mkuu wa Jeshi l…
Mwanaume mmoja nchini Zimbabwe amekamatwa kwa kujaribu kutaka kumfanyia mtihani wa sekondari mpenzi wake. Mtu huyo alivalia mavazi ya kike na kuweka nywele bandia pamoja na kupaka rangi mdomo ili …
Kila mwaka Shirika la Afya Duniani ‘WHO’ hutoa ripoti ya hali ya Mazingira Duniani ambapo mwaka 2017 WHO pia imetoa list mpya ya miji 38 michafu na yenye hali mbaya ya hewa barani Africa…
Mvuvi mmoja nchini Australia ameelezea jinsi papa mwenye uzito kilo 200 alivyoruka ndani ya boti lake na kumjeruhi mkono.
Ulozi! Siku chache tangu liibuke sakata la mchanga wa madini (makanikia), kufuatia ripoti ya kamati maalum iliyoundwa na Rais Dk John Pombe Magufuli kusomwa na kuibua mazito, Askofu wa Kanisa …
Katika kipindi cha #Clouds360 kinachoendelea muda huu, msanii #RomaMkatoliki ameonyesha kukasirishwa na kitendo cha Mh Kessy ( Mbunge wa Jimbo la Nkasi ) kutaja jina lake Bungeni na kudai …
Hazijafika saa 72 toka mwimbaji wa Bongofleva Diamond Platnumz aachie wimbo mpya ambao unagusia yanayoendelea sasa hivi Tanzania ambapo baada…
Watu wapatao 100 ikiwa ni pamoja na watoto 25 wameuawa nchini Syria kufuatia mashambulizi ya kemikali katika maeneo yanayodhibitiwa na waasi.
Zaidi ya watu 10 wanadhaniwa kufariki katika ajali ya boti ya wavuvi Zanzibar Taarifa zilizotufikia muda huwa kuwa watu zaidi ya kumi wanadhaniwa kufariki katika ajali ya
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Freeman Mbowe amtuhumu Rais John Magufuli pamoja na waziri Mkuu Kassi Majaliwa kuhusika kwa alichodai kuwa ni kuekukwa kwa taratibu za uchaguzi.…
Wabunge wa CCM wameitaka Serikali kutoa majibu sahihi bungeni kuhusu utambulisho wa mtu aitwaye Daudi Bashite. Sakata hilo liliibuka juzi katika kikao cha wabunge wa CCM kilicho…
Salamu za pongezi zimeendelea kumiminika kwa aliyekuwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (Nimr), Dk Mwele Malecela baada ya kuteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Vituo v…
JESHI la Polisi mkoani Simiyu, linamshikilia mkazi wa Bariadi mkoani hapa, Joyce Mganga (60), kwa kosa la kuwachoma moto wajukuu zake kwa kutumia panga la moto. Kaimu Kamanda wa Polisi mkoa…
Dkt Elly Macha (Enzi za uhai wake) Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Viti Maalum (CHADEMA) akiwakilisha walemavu Dkt. Elly Macha amefariki dunia baada ya ku…
Siku chache baada ya kuibuka hofu kuwapo kwa uwezekano wa Shirika la Umeme nchini (Tanesco) kuikatia nishati hiyo Zanzibar kutokana na deni inalodaiwa, visiwa hivyo vimepata matumaini …
Social Plugin