MICHAEL MTANZANIA

ONESTEPMEDIATZ

Nay wa Mitego adai kukamatwa na polisi Mvomero, ni kutokana na wimbo wake Wapo unaoikosoa serikali




Nay wa Mitego amedai amekamatwa na polisi wilayani Mvomero, Morogoro alikokuwa ameenda kwaajili ya show.

Hajasema sababu ya kukamatwa kwake lakini watu wanahisi ni kutokana na wimbo wake Wapo ambao umemkosoa vikali Rais Dkt John Magufuli. “Nimekamatwa kweli. Muda Huu nikiwa hotel Morogoro baada ya kumaliza Kazi yangu iliyo ni leta. Napelekwa Mvomelo Police,” ameandika rapper huyo mtata.
“Nawapenda Watanzania wote. #Truth #Wapo,” ameongeza.

Post a Comment

0 Comments