Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, Jumanne hii
ameanza kuhojiwa na Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya
Bunge kujibu tuhuma zinazomkabili za kuingilia Haki, Uhuru na Madaraka
ya Bunge.
Kwa mujibu wa maelezo kwenye akaunti maalum ya Facebook ya bunge hilo, wito wa kufika mbele ya kamati hiyo umefikiwa kufuatia azimio la Bunge kumuomba Mhe Spika kuwaita mbele ya kamati wakuu wa wilaya na mikoa waliotoa matamshi ya kudharau mamlaka ya Bunge.

0 Comments