WAKATI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli akimpongeza msanii wa muziki, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kwa kujaaliwa kupata mtoto wa pili ambaye ni Nillan, baba mzazi wa…
Muigizaji wa filamu nchini Tanzania Gabo Zigamba amewataka waongozaji filamu Tanzania (Directors) kutojihusisha na kazi za kuongoza filamu kama hawana vipaji pamoja na taaluma hiyo. Gabo …
UMOJA wa Wafanyabiashara wa vileo katika Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa, wamemwomba Rais John Magufuli kuingilia kati na kusitisha zuio la pombe kali inayofungwa kwenye vifungashio vya plast…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amelifuta agizo lililotolewa jana tarehe 16 Machi, 2017 na Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Harrison Mwakyembe linalotoa sharti la…
Serikali imepiga marufuku watu kufunga ndoa bila kuwa na cheti cha kuzaliwa kuanzia Mei Mosi, mwaka huu. Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Harrison Mwakyembe ametangaza utaratibu huo mpya hii…
Klabu ya soka ya Yanga itacheza Jumamosi hii mchezo wake wa marudiano wa klabu bingwa ya Afrika wakiwa ugenini dhidi ya Zanaco FC ya Zambia bila washambuliaji wake hatari Amisi Tambwe na Donald Ngom…
Barnaba amedai kuwa ni bora fedha zao za muziki ziibiwe na Diamond kupitia tovuti yake ya kuuza muziki ya Wasafi.com kuliko watu wengine. Muimbaji huyo ameiambia Dizzim Online, “Tumeibiwa sana w…
CEO wa Wasafi, Diamond Platnumz amedai kuwa kitendo cha baadhi ya watangazaji na waandishi kushikilia kumzungumzia na kumuandika kwa Mambo mabaya, cha kujipotezea muda kwao Kwenye exclusive inte…
Mahakama ya Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro imetoa hukumu ya kuchwapwa kiboko kimoja mwanafunzi wa kidato cha tatu shule ya sekondari Longoi wilaya hapo baada ya kupatikana na hatia…
Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) limewataka wasanii wa muziki nchini kufuata taratibu za kupeleka nyimbo zao kukaguliwa kabla hazijatoka ili kuondoa usumbufu ambao umekuwa ukijitokeza mara kwa mara …
Ni muda sasa tangu Producer Mr T Touch aondoke Free Nation inayomilikiwa na Nay wa Mitego na kwenda kuanzisha studio yake mitaa ya Sinza Palestina jijini Dar es Salaam. Mbali na kwamba wawi…
Klabu ya Yanga atakosa huduma ya mshambuliaji wake Mzimbabwe, Donald Ngoma, baada ya mchezaji huyo kurudishwa hospitali kwa ajili ya kuendelea na matibabu ya goti ambayo yanamsumbua kwa muda …
Mwanasiasa mmoja mwanamke anachukua hatua isio ya kawaida katika kile anachosema ni sheria kali za uavyaji mimba kwa kuwalenga wanaume wanaofanya punyeto. Lengo la sheria hiyo yake anasem…
Mange Afunguka Kuhusu Beef la Diamond na Alikiba...Adai Diamond inatakiwa Aombe msamaha.. Ameandika haya : Mangekimambi - Kwanza kabisa naskia kumbe ni mstari wa nyimbo tu, okay tuchuku…
Serikali ya Kenya pamoja na madaktari nchini humo, hatimaye wametia sahihi makubaliano ya kurudi kazini. Hii ni baada ya mgomo wa madaktari nchini kenya, ambao umedumu siku mia moja na kuat…
MKAZI wa Kijiji cha Chiwana wilayani humu, Said Kassim (20), ametiwa mbaroni kwa tuhuma za kumuua mtoto katika tukio la ugomvi na mkewe chanzo kikidaiwa ni wivu wa mapenzi. Kamanda wa Polis…
Rapper Profesa Jay amedai kuwa amewasamehe wasanii wenzake ambao walitaka akose ubunge. Jay ambaye ni mbunge wa jimbo la Mikumi, kupitia mtandao wa Instagram amewataka wasanii wawe na umoja. …
Rapper kutoka TMK Wanaume Family Mh Temba ameelezea sababu za yeye kuwa kimya ni kutokana na kutapeliwa pesa na mfanyakazi wa bandari jijini Dar es Salaam. Temba amekuwa akimposti tapeli wake kupit…
Mkali kutoka WCB, Harmonize ameachia kazi mpya tatu kwa wakati mmoja, Happy Birthday, Acha Nilewe na Niambie. Kati ya hizo, Happy Birthday inapatikana mtandaoni kwa njia ya kawaidanna Acha Ni…
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye amemwagiza Mkurugenzi wa Habari Maelezo kufuatilia utendaji kazi wa maofisa habari na mawasiliano wote ili kujiridhisha kama wanafanya kaz…
Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania siku ya leo amemjibu maombi ya moja kwa moja juu ya kilio cha wasanii kilichowakilishwa na msanii Diamond Platnumz. Akizungumza moja kwa moja kut…
Baada ya kushikiliwa na polisi kwa takriban siku 4, Vanessa Mdee ameachiwa kwa dhamana Jumatatu hii. Vanessa ambaye alishikiliwa muda mfupi baada ya kurejea kutoka Afrika Kusini ni miongo…
1. Brunei ukipenda iite 'Darusalaam' ama nyumba ya amani ni nchi ambayo raia wake hawalipi kodi yeyote (All citizens in Brunei, including expats, do not have to pay for taxes, for it is…
Inabidi wafuatiliaji wa tuhuma hizi tufikie hitimisho hilo. Kuanzia kwenye mitandao,kanisani,runingani,magazetini,redioni hadi mitaani,mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda anasemwa kuwa…
Imeripotiwa kuwa kuna taarifa za mchezaji wa klabu ya Real Madrid, Cristiano Ronaldo anataraji kupata mapacha wawili wakiume hivi karibuni kutoka kwa mwanamke ambaye amempa mimba (A Surrogate Mothe…
Rapper mkongwe wa hip hop nchini Profesa Jay ameahidi kuachia wimbo wake mpya Jumatano hii. Ni miezi saba imepita tangu rapper huyo alipoachia wimbo wake wa ‘Kazi Kazi’ ambao bado unazidi k…
Kumiliki mjengo kwa Dar sio mchezo mchezo lakini Harmorapa ni baba mwenye nyumba pia kwa sasa, walau kutokana na maneno yake mwenyewe. Rapper huyo machachari amethibitisha kuwa kwa sasa ana…
Msanii wa muziki kutoka WCB, Harmonize amedai idea ya wimbo wake mpya ‘Niambie’ ilitokana na aliyekuwa mpenzi wake, Jacqueline Wolper Muimbaji huyo amedai alishindwa kujua ni kwanini malkia h…
STAA wa fi lamu za Kibongo, Jacqueline Wolper ameeleza kukerwa na mwanamuziki chipukizi, Athuman Omary ‘Harmorapa’ aliyesema amewahi kutoka naye kimapenzi jambo ambalo siyo kweli. Akichonga…
Baada ya kufunga magoli mawili katika michuano ya Europa League dhidi ya ndugu zao KAA Gent Mshambuliaji na Nahodha wa Tanzania Mbwana Samatta huku KRC Genk wakishinda jumla ya magoli 5-2 na ku…
1. Wanaume wakatili zaidi Afrika - Waangola, Warundi na Wanubi (Sudan). Ukiwakosea ni kipigo au kifo. Kwao hakuna msamiati uitwao "Msamaha". 2. Wanaume wanaojali zaidi familia zao Afri…
Kutokana na upungufu wa chakula, Mkuu wa Wilaya ya Same, Rosemary Senyamile apiga marufuku biashara ya mahindi ya kuchoma ili kukabiliana na tatizo la njaa. Je, unahisi kupigwa marufuku kwa bia…
Baada ya kuachia track mpya iliyojaa utata utata hivi, Harmorapa ameweka kila kitu ‘clear’ kilichomfanya kuandika mistari ya kumdiss dancer wa Diamond, Mose Iyobo. Kupitia kipindi cha Flev…
Makubwa! Wema Isaac Sepetu amezua gumzo baada ya kujadiliwa kwenye msikiti mmoja uliopo Mwenge jijini Dar kufuatia mhadhiri mmoja maarufu aliyefahamika kwa jina moja la Mwaipopo kuelezea namna mw…
MKOA wa Mbeya umetajwa kushika nafasi ya tatu kitaifa, kwa kuwa na makosa mengi ya jinai na mengi ya makosa hayo, yakitokana na imani za kishirikina. Mkemia Mkuu wa Serikali, Profesa Samwel Man…
Social Plugin