Kutokana na upungufu wa chakula, Mkuu wa Wilaya ya Same, Rosemary Senyamile apiga marufuku biashara ya mahindi ya kuchoma ili kukabiliana na tatizo la njaa.
Je, unahisi kupigwa marufuku kwa biashara ya kuchoma mahindi kutasaidia kupunguza tatizo la njaa
0 Comments