Kiungo wa kimataifa wa Hispania anayeichezea Man United ya England Juan Mata jina lake limerudi kwenye headlines baada ya kufanyiwa upasuaji wa groin, Mata ambaye mwanzoni mwa wiki hii alikuwa …
NI ALAMA za nyakati ambazo kocha George Lwandamina anatakiwa kuzisoma kuhusu ubora wa wachezaji wake. Baadhi ya watu wanasema nyota wengi wa kikosi cha Yanga SC umri ‘umew…
JESHI la Polisi mkoani Simiyu, linamshikilia mkazi wa Bariadi mkoani hapa, Joyce Mganga (60), kwa kosa la kuwachoma moto wajukuu zake kwa kutumia panga la moto. Kaimu Kamanda wa Polisi mkoa…
Baada ya kusimama kwa muda wa takribani wiki tatu kupisha michuano mbalimbali ya kimataifa kwa ngazi ya timu ya taifa na klabu, kadhalika michuano ya Kombe la Azam Sports Federation Cup, Ligi …
MSHAMBULIAJI WA SIMBA, LAUDIT MAVUGO. MSHAMBULIAJI wa Simba, Laudit Mavugo, amesema ana uhakika wa kufunga kwenye mchezo wa kesho wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Kagera Sugar. Mchezo h…
WAKATI ushindi wa aina yoyote dhidi ya Azam FC leo Jumamosi utawapeleka mabingwa watetezi Yanga SC katika kilele cha msimasmo wa ligi kuu Tanzania Bara, Simba SC kesho Jumapili watakuwa uwanja…
Dkt Elly Macha (Enzi za uhai wake) Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Viti Maalum (CHADEMA) akiwakilisha walemavu Dkt. Elly Macha amefariki dunia baada ya ku…
Siku chache baada ya kuibuka hofu kuwapo kwa uwezekano wa Shirika la Umeme nchini (Tanesco) kuikatia nishati hiyo Zanzibar kutokana na deni inalodaiwa, visiwa hivyo vimepata matumaini …
Waziri Mkuu wa Ethiopia, Hailemariam Dessalegn anatarajiwa kuwasili nchini kesho, Machi 31 kwa ziara ya kitaifa ya siku mbili kufuatia mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania…
Jay Moe amewataja Vanessa Mdee, Lady Jaydee na Aika wa Navy Kenzo kuwa ndio wasanii wa kike anaowakubali zaidi kwa sasa na ambao angependa kuja kuwashirikisha siku moja kwenye kazi zake. “Hao n…
Rapper Nay wa Mitego, Alhamis hii aliitikia wito wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt Harrison Mwakyembe kukutana naye mjini Dodoma kwaajili ya kuzungumza namna ya kuuboresha wim…
Timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 17 ‘Serengeti Boys’ imepata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Burundi kwenye mechi ya kirafiki ya kimataifa iyochezwa kwenye uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba mko…
Baada ya Rais mpya wa FIFA, Gianni Infantino kutaka kuwepo kwa timu 48 ambayo ilikua ni moja ya ahadi zake katika kampeni. Chama cha soka duniani FIFA kimepanga kuwepo kwa michezo sita ili zipat…
KAMPUNI ya udalali ya Majembe Auction Mart imepanga kuzipiga mnada nyasi bandia pamoja na magoli ya timu ya Simba SC kutokana na kukaa bandarini kwa muda mrefu bila kuchukuliwa na wahusika. …
MABINGWA watetezi Yanga SC inatarajia kukutana na timu ya Azam FC wikiendi bila Nyota wake muhimu wa kikosi cha kwanza. Kocha Msaidizi wa Yanga, Juma Mwambusi amefafanua swala hilo kuwa anaandam…
Kocha Mkuu wa Yanga, George Lwandamina amesema pamoja na kuandamwa na majeruhi mfululizo, kikosi chake kitakuwa sawa. Lwandamina amesema washambuliaji wawili wa kati wameendelea kuwa ma…
BARAZA la Madiwani wa Mji Mdogo wa Chalinze mkoani Pwani limepongeza hatua zilizochukuliwa na serikali kudhibiti wadudu aina ya viwavijeshi waliovamia Wilaya ya Bagamoyo mwanzoni mwa mwezi…
Kocha Arsene Wenger ameauambia uongozi wa Arsenal kwamba anataka kuendelea kubaki Emirates kwa miaka miwili. Katika mkutano pamoja na uongozi wiki iliyopita, Wenger ameweka wazi yake ya …
Roma amekanusha madai ya mashabiki wa muziki kuwa ameufyata mkia na kuacha kuichana serikali kwenye nyimbo zake kama zamani kutokana na serikali ya awamu ya tano kuto’entertain’ mambo hayo! Rap…
Social Plugin