Usiku wa Ijumaa hii Diamond alifanya show kubwa ambayo ilihudhuriwa na umati mkubwa wa watu waliojitokeza kutoka sehemu mbalimbali katika mji wa Muscat nchini Oman. Hizi ni baadhi ya picha za…
Kocha wa zamani wa Manchester United, Sir Alex Ferguson amesema utawala wa klabu za Hispania unaenda kuanguka kwa sababu ubora wa Messi na Ronaldo unaelekea kufika mwisho. Ferguson…
Baada ya jumapili iliyopita kuweka wazi cheti cha matokeo ya Makonda na hujuma zake za kumtumia dada kupotosha umma,Dr.Gwajima pamoja na mahubiri,kesho ataendelea kuwafunulia watanzania. Kesho …
Muimbaji wa WCB, Harmonize ilikuwa awepo kwenye kipindi cha FNL cha Televisheni Ijumaa hii, lakini ameingia mitini baada ya kumuona meneja wa msanii Harmorapa maeneo ya studio hizo. …
Mohammed Dewji amepanga kuiunganisha Simba kwa Juventus ya Italia. Tajiri huyo namba moja kwa sasa hapa nchini alitua Italia katika klabu hiyo mapema wiki hii na kufanya nao mazungu…
Msanii asiyekaukiwa 'kiki' katika ulingo wa sanaa ya Bongo, Harmorapa amesimulia kilichomkuta alipokwenda kumuona aliyekuwa Waziri wa habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Nnauye ki…
Klabu ya Yanga imeandikiwe barua ya Onyo Kali kutokana na benchi lake la ufundi kumlalamikia mara kwa mara Mwamuzi wakati wa mechi ya utangulizi ya U20 kati ya timu hiyo na Simba iliyoche…
Usiku wa Alhamisi hii zilichezwa mechi kadhaa katika bara la Amerika ya Kusini za kufuzu kucheza kombe la dunia mwakani nchini Urusi. Brazil wakiwa ugenini imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao …
Mwamuzi Jacob Adongo amepewa ONYO KALI kwa kushindwa kutafsiri vizuri sheria katika mechi namba 186 kati ya Simba na Mbeya City iliyofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Onyo hil…
Shetta amedai kuwa Shikorobo, wimbo wake aliomshirikisha msanii wa Nigeria, KCEE, una historia muhimu katika maisha yake ya muziki. Akizungumza jana kwenye kipindi cha Ngaz Kwa Ngaz cha EATV am…
Mchezaji wa klabu ya Simba SC, Method Mwanjale anatarajia kuanza mazoezi katika kikosi hicho hii leo. Beki huyo ambaye hucheza nafasi ya beki wa kati wa Simba, amerejea juzi akitoka kwao Zimbabwe…
NAHODHA WA TIMU YA TAIFA, MBWANA SAMATTA Taifa Stars - timu ya Tanzania ya mpira wa miguu kwa mwaka 2017 inaingia uwanjani kucheza na Botswana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam k…
Inaonekana kuna ishu kibao kuhusiana na ajali iliyosababishwa na gari la msanii Jaguar. Jumanne ya tarehe 21 gari aina ya Range Rover Sport lenye nambari ya usajili KCB 808J ilisaba…
Wasanii wa filamu za kibongo wamepewa fursa ya kuanza kuuza filamu zao nchini China ambao sasa zitakuwa zikitafsiriwa kwa lugha ya nchi hiyo kama ambavyo Rufufu amekuwa akitafsiri za k…
Ahsante Mwigulu., naamini mkuu hatokutumbua sababu alietoa bastola hakuwa Daudi Bashite... Ingekuwa ni Daudi Bashite alietoa Bastola Alafu wewe ukaagiza Hatua zichukuliwe ungeondoka kaka. Hak…
Nimetoka nyumbani Kwa Mbunge wa Mtama ndg Nape Nnauye kumpa Salam zangu za mshikamano na kumtia moyo katika majukumu yake ya kuhudumia watu wa Mtama Lindi na Tanzania Kwa ujumla. …
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) lenye dhamana ya kuratibu ukuzaji na uendelezaji wa sekta ya Sanaa nchini litatoa tuzo kwa wanafunzi wa shule za sekondari nchini waliofanya vizuri kitaifa katika…
Ni kitambo sana kimepita tangu tumsikie rapper Young Killer kwenye collabo,hata Rremix pia ya Sinaga Swaga ameamua kufanya peke yake. Wakati wengi tunahisi huenda ikawa wasanii wanachomoa kufan…
Rais Dkt John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa mheshimiwa Nape Nnauye kama Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. Badala yake amemtua Dkt Harrison Mwakyembe kushika nafasi hiyo. Chini …
Kocha wa klabu ya Arsenal, Arsene Wenger amesema klabu hiyo imesitisha kwa muda mazungumzo kuhusu mikataba ya Alexis Sanchez na Mesut Ozil hadi mwisho wa msimu. Sanchez na Ozil mikataba yao ka…
Taarifa za ajali ya gari la Jaguar iliyotokea jana na kusababisha vifo vya watu ilishtua wengi, lakini muimbaji huyo wa Kenya hakuwepo katika gari hilo kama baadhi ya watu walivyokuwa wakidhania b…
Harmorapa amefunguka kwa kuwataja mastaa waliosababisha kutumia jina analotumia sasa kwenye muziki. Akingea kwenye kipindi cha Bongo Dot Home cha Times FM, rapper huyo amemtaja Roma na Mr T-Tou…
Barnaba amefunguka kuhusiana na mahusiano yake na mama Steve kwa sasa. Wiki chache zilizopita muimbaji huyo alidaiwa kuachana na mzazi mwenzake huyo ambaye wamefanikiwa kupata mtoto mmoja. Aki…
Mchezaji wa zamani wa klabu ya Liverpool na nahodha ambaye pia aliwahi kuwa kocha Ronnie Moran amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 83, Moran alichezea klabu hiyo mechi 379 kati ya mwaka 1952 na …
Askofu wa kanisa la ufufuo na uzima, Josephat Gwajima ameieleza mahakama ya hakimu mkazi Kisutu kuwa ofisa wa jeshi la polisi alitaka kumchoma sindano bila ridhaa yake wakati alipolazwa kweny…
Social Plugin