Mchezaji wa klabu ya Simba SC, Method Mwanjale anatarajia kuanza mazoezi katika kikosi hicho hii leo.
Beki huyo ambaye hucheza nafasi ya beki wa kati wa Simba, amerejea juzi akitoka kwao Zimbabwe ambako alikwenda baada ya kuwa majeruhi.
Mwanjale raia wa Zimbabwe amekuwa akisumbuliwa na maumivu yaliyomfanya kukaa nje kwa zaidi ya wiki mbili.

“Sasa
yuko vizuri kabisa, siku zake za kupumzika zimeisha na ziada pia. Hivyo
anaweza kuanza mazoezi,” zilieleza habari kutoka ndani ya Simba.

0 Comments