Taarifa za ajali ya gari la Jaguar iliyotokea jana na kusababisha
vifo vya watu ilishtua wengi, lakini muimbaji huyo wa Kenya hakuwepo
katika gari hilo kama baadhi ya watu walivyokuwa wakidhania baada ya
mwenyewe kufika katika eneo hilo baada ya tukio hilo kutokea.
Jaguar kupitia mtandao wa Instagram, ameweka picha ya gari lake likiwa katika eneo ilipotokea ajali hiyo na kuandika ujumbe wa pole kwa waliopatwa na msiba pamoja na majeruhi katika ajali hiyo.
Kupitia mtandao huo, ameandika:
Jaguar kupitia mtandao wa Instagram, ameweka picha ya gari lake likiwa katika eneo ilipotokea ajali hiyo na kuandika ujumbe wa pole kwa waliopatwa na msiba pamoja na majeruhi katika ajali hiyo.
Kupitia mtandao huo, ameandika:
It is with grief that I share this post today. As it is now public, I was involved in a car accident. Sadly, lives were lost in the incident. It isn’t any ones will to wake up and be involved in an accident such as this. My heart felt condolences to the families and friends of those affected. I would like to assure all concerned that due process of the law is being followed to amicably resolve this. I pray God grant strength to the families affected as we all go through this trying moment. Lastly, lets avoid confrontational remarks in consideration to the pain it is causing the bereaved families.
Be well.
0 Comments