Baada ya jumapili iliyopita kuweka wazi cheti cha matokeo ya Makonda na
hujuma zake za kumtumia dada kupotosha umma,Dr.Gwajima pamoja na
mahubiri,kesho ataendelea kuwafunulia watanzania. Kesho ataweka wazi
cheti cha Paul Christian mwenyewe ambacho ni cheti alichokitumia Makonda
kupatia elimu ya chuo
0 Comments