Nimetoka nyumbani Kwa Mbunge wa Mtama ndg Nape Nnauye kumpa Salam zangu
za mshikamano na kumtia moyo katika majukumu yake ya kuhudumia watu wa
Mtama Lindi na Tanzania Kwa ujumla.
Amenieleza kuwa anakwenda jimboni kwake ndani ya siku chache zijazo.
Nataraji watu wa Lindi, bila kujali itikadi za vyama vyetu vya siasa,
watampa mapokezi anayostahili
0 Comments