Ahsante Mwigulu., naamini mkuu hatokutumbua sababu alietoa bastola
hakuwa Daudi Bashite... Ingekuwa ni Daudi Bashite alietoa Bastola Alafu
wewe ukaagiza Hatua zichukuliwe ungeondoka kaka. Haki vile ingekuwa Mtoa
Bastola ni Daudi Bashite Alafu ukato agizo hili saaa hivi ningekuwa
nachangisha michango ya Farewell party yako!!
0 Comments