Hazijafika saa 72 toka mwimbaji wa Bongofleva Diamond Platnumz aachie wimbo mpya ambao unagusia yanayoendelea sasa hivi Tanzania ambapo baada…
Septemba 18, 2015, kwa mara ya kwanza Davido alitweet kueleza ujio wa collabo yake na Joh Makini. April 3, 2017, Davido pia alipost picha Instagram inayoonesha kuwa wawili hao wameshoot video ya …
Msanii wa muziki nchini anayefanya vizuri na wimbo ‘Komela’ Dayna Nyange amechukua tuzo mbili za BEA nchini Nigeria zilizotolewa weekend iliyopita. Muimbaji huyo amechua tuzo ya Best African Art…
Watu wapatao 100 ikiwa ni pamoja na watoto 25 wameuawa nchini Syria kufuatia mashambulizi ya kemikali katika maeneo yanayodhibitiwa na waasi.
Zaidi ya watu 10 wanadhaniwa kufariki katika ajali ya boti ya wavuvi Zanzibar Taarifa zilizotufikia muda huwa kuwa watu zaidi ya kumi wanadhaniwa kufariki katika ajali ya
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Freeman Mbowe amtuhumu Rais John Magufuli pamoja na waziri Mkuu Kassi Majaliwa kuhusika kwa alichodai kuwa ni kuekukwa kwa taratibu za uchaguzi.…
Waziri mwenye dhamana ya michezo Dr. Harrison Mwakyembe amekuja juu baada ya kusikia kwamba timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 17 ‘Serengeti Boys’ ilishushwa kwenye maba…
Eric Shigongo ameendelea kutoa ushauri kwa Alikiba na uongozi wake Soma alichoandika awamu hii: Kama nilivyosema kwa Diamond kwenye ushauri wangu kwamba alifikishwa hapo alipo na mashabiki …
Wabunge wa CCM wameitaka Serikali kutoa majibu sahihi bungeni kuhusu utambulisho wa mtu aitwaye Daudi Bashite. Sakata hilo liliibuka juzi katika kikao cha wabunge wa CCM kilicho…
MABINGWA watetezi wa ligi kuu ya Tanzania Yanga SC inayoongoza ligi mpaka sasa kwa tofauti ya pointi moja dhidi ya mahasimu wao Simba huku kila timu ikibakiwa na mechi tano kumalizika msimu h…
Salamu za pongezi zimeendelea kumiminika kwa aliyekuwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (Nimr), Dk Mwele Malecela baada ya kuteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Vituo v…
Kwa sasa umekuwa ni mtindo wa kawaida watu kuwafungulia watoto wao akauti Instagram ili kuwawekea picha zao. Leo ningependa kukuletea top ten ya watoto wa wastaa ambao wapo Instagram, orodha imep…
Hatua hizi ambazo nitazieleza siku ya leo ni muhimu sana, kwani sitakwenda kubadili mtazamo na maisha yako kwa ujumla. Cha msingi ni usome bila kuchoka makala hii mwanzo mpaka mwisho, …
Baada ya Simba kupoteza mchezo wao wa ligi kuu Tanzania bara dhidi ya Kagera Sugar kwa kuchapwa 2-1, nahodha wa Simba Jonas Mkude amesema bado wanaendelea kufukuzia ubingwa ha…
Kiungo na nahodha msaidizi wa Azam FC Himid Mao ‘Ninja’ kupitia ukurasa wake wa twiter amempa pole kiungo wa Yanga Justine Zulu ‘Mkata umeme’ baada ya kumuumiza vibaya mguu wake wa kulia wakati…
Klabu ya Yanga imeendelea kuongeza idadi ya wachezaji wenye majeraha baada ya Justine Zulu kuumia kwenye mchezo dhidi ya Azam, Zulu alifaniwa rafu na Himid Mao iliyosababisha…
Mbwana Samatta akifunga bao hilo jana, ambalo lilikuwa la pili kwenye mchezo NAHODHA wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta jana amefunga bao moja timu yake, KRC Genk ikishinda 4-0 Uwanja w…
MSANII wa Bongo Fleva anayetrendi katika mitandao ya kijamii Bongo, Athuman Omary ‘Hamorapa’, jana jumamosi katika viwanja vya Escape One Kinondoni Jijini Dar es Salaam, alionekana kumga…
Kiungo wa Yanga raia wa Rwanda Haruna Niyonzima ambaye pia ni nahodha msaidizi wa timu hiyo amesema, katika soka la kisasa maandalizi ndio kilakitu katika kuhakikisha timu inap…
Kumbe Alikiba na waziri mpya wa fedha wa Afrika Kusini, Malusi Gigaba ni watu wa karibu! Hitmaker huyo wa Aje amempongeza waziri huyo kupitia mtandao wa Instagram kwa kuchaguli…
Social Plugin