MSANII wa Bongo Fleva anayetrendi katika mitandao ya kijamii
Bongo, Athuman Omary ‘Hamorapa’, jana jumamosi katika viwanja vya Escape
One Kinondoni Jijini Dar es Salaam, alionekana kumganda mzungu wa
kampuni ya kinywaji cha Swala baada ya
kusambaa kwa taarifa za kupewa
dili nono na kampuni inayozalisha kinywaji cha Swala.
Kupitia mtandao wake wa kijamii wa Hamorapa, imeweka Ujumbe akijinadi
kwa mashabiki wake kuwa yupo na mzungu wake bosi wa kijanywaji hicho.
Aidha kwa sasa mashabiki wanamshauri Hamorapa kufanya kazi nzuri za sanaa na kuachana na kiki zisizo na kichwa wala miguu.
0 Comments