Zaidi ya watu 10 wanadhaniwa kufariki katika ajali ya boti ya wavuvi Zanzibar
Boti ya uvuvi hata hivyo baadhi ya watu waliookolewa na mabaharia wa boti ya Azama Sea Link iliyokuwa ikisafiri kutoka Pemba kwenda Kisiwani Unguja.
Taarifa zinasema kuwa uokoaji unaendelea na kwamba watu 50 wameokolewa katika ajali hiyo.
Muungwana Blog ilifanya mawasiliano na Maofisa wahudumu wa Ofisi za Boti hiyo ambao walikiiri kutokea kwa ajili hiyo
Maofisa hao hawakutaja majina yao kutajwa kutokana na kudai kuwa hawana mamlaka ya kusema chochete kuhusu ajali hiyo.
michael mtanzania itakujuza zaidi kuusiana na tukio hili
0 Comments