MICHAEL MTANZANIA

ONESTEPMEDIATZ

List ya Miji michafu zaidi Afrika 2017 imetoka, Tanzania inao mmoja

Kila mwaka Shirika la Afya Duniani ‘WHO’ hutoa ripoti ya hali ya Mazingira Duniani ambapo mwaka 2017 WHO pia imetoa list mpya ya miji 38 michafu na yenye hali mbaya ya hewa barani Africa.

Nigeria inaongoza list kwa kuwa na miji mingi michafu ikiwa na miji 12 ikifuatiwa na Afrika Kusini ambayo imeingiza miji 8 kwenye list hiyo. Jiji la Nairobi limetajwa kuwa chafu kwa upande wa majiji makubwa Afrika Mashariki huku Morogoro ukiwa mji pekee kwenye list hiyo kutoka Tanzania.

Post a Comment

0 Comments