Serikali kupiti Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi Teknolojia, William Ole Nasha amesema lengo la serikali huko mbeleni kadiri uwezo utakavyo ruhusu itatoa elimu bure hadi chuo kikuu.
Mchezaji wa kikapu nchini Tanzania, Hasheem Thabeet amefunguka kwa mara ya kwanza kupitia Bongo5 sababu za yeye kuachana na ligi pendwa ya kikapu duniani ya NBA na kutimkia Japan kujiunga na klabu…
BEKI wa kimataifa raia wa Ivory Coast, Pascal Serge Wawa, amesema kuwa, kwa sasa yupo kwenye maandalizi kabambe ya kutua kwenye kikosi cha Yanga ambapo muda wowote kuanzia sasa anaweza kuwa m…
Ripoti iliyotolewa na Umoja wa Mataifa (UN) imesema Watoto Milioni 152 ulimwenguni wanalazimika kufanya kazi badala ya kwenda shule.
Kamanda wa polisi kanda maalum ya dar es salaam, SACP Lazaro Mambosasa amesema kuwa kazi ya jeshi ni kusimamia sheria, kuna kamati mbalimbali ambazo ni kusimamia maadili kwa wanaopokea rushwa, …
Hali ya Ukeketaji mkoa wa Manyara imefikia asilimia 70.8 kutoka asilimia 58 mwaka jana,hali ambayo ni mbaya zaidi licha ya jitihada za serikali na Mashirika binafsi kutoa elimu juu ya madhara ya ku…
KIPUTE cha Kombe la Dunia kinatarajiwa kuanza kesho kwa wenyejiUrusi kuvaana na Saudia Arabia kwenye mchezo unaosubiriwa kwa hamu kubwa.
Producer kutokea Wasafi Records, Laiza ametaja orodha ya wasanii aliofanya nao kazi kabla ya kujiunga na WCB.
WABISHI Golden State wamefanya mambo makubwa tena baada ya kufanikiwa kutwaa ubingwa wa NBA, baada ya kuwachapa Cleveland Cavaliers, kwenye michezo 4-0 ya fainali.
Baada ya kuwepo kwa maneno mengi juu ya hatma ya straika wa klabu ya Atletico Madrid, Antoine Griezmann hatimaye amevunja ukimya na kusema kuwa tayari ameshafanya maamuzi juu ya timu gani atakwenda…
Klabu za Chelsea na Arsenal zinaendelea na vita ya kumuwania kiungo wa klabu ya Nice ya Ufaransa Jean-Michael Seri.
Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imethibitisha rasmi kuingia kandarasi ya mwaka mmoja na mshambuliaji Donald Ngoma hapo jana siku ya Jumatatu atakaoanza kuutumikia kuanzia msi…
Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Kenya, Gor Mahia, Dylan Kerr amesema yuko tayari kurejea Simba, lakini ametoa masharti.
Usiku wa Jumatatu mdhamini mkuu wa Mabingwa wa Ligi Kuu Bara klabu ya Simba SC, Mohammed Dewji aliandaa tuzo maalum ‘Mo Simba Awards 2018’ zilizofanyika Hyatt Regency jijini Dar es salaam kwa…
Kocha Pierre Lechantre naye ni kati ya waliopata tuzo katika Mo Awards, lakini ameaga Simba rasmi.
Rasmi uongozi wa Azam FC umemtambulisha aliyekuwa Mshambuliaji wa Njombe Mji, Ditram Nchimbi, baada ya kuingia naye mkataba wa miaka miwili.
Benki ya NBC imemshitaki Mfanyabiashara na aliyekuwa Mwwenyekiti wa klabu ya Yanga, Yusuf Manji kwa kushindwa kulipa mkopo wa shilingi bilioni 26.
Kamishna wa Maadili, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Jaji Mstaafu Harold Nsekela amesema kuwa wamefanya uchambuzi ambapo kwasasa zaidi ya viongozi 900 wanahakikiwa mali zao. Akizung…
Tuzo za Simba Mo Awards zinafanyika leo katika ukumbi wa Hotel ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam.
Social Plugin