Mabingwa wa soka Tanzania, Simba wamefuzu kucheza fainali ya SportPesa Super Cup baada ya kuichapa Kakamega Homeboyz kwa mikwaju 5-4. Mechi hiyo iliisha kwa sare ya bao 0-0 katika hatua ya da…
Makamu Mwenyekiti wa Yanga SC, Clement Sanga (katikati). KAIMU Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Clement Sanga, ameonyesha kushangazwa na hatua zilizochukuliwa za kujiuzulu kwa wajumbe wawili wa …
KIUNGO wa Simba, Said Ndemla, juzi alishindwa kusaini mkataba mpya wa kuendelea kuichezea Simba baada ya kutofikia makubaliano na uongozi wa klabu hiyo yenye makao makuu yake mtaa wa Msimbazi, Kari…
ocha Mkuu wa Simba, Pierre Lechantre akiwa jukwaani na msaidizi wake, Mohamed Habibi.
KLABU ya African Lyon ya Dar es Salaam imelitaka Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kumtaja mdhamini wa msimu ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, kufuatia kampuni ya Vodacom Tanzania kumaliza mkataba…
Kiungo Mshambuliaji wa Timu ya Singida United,Deus Kaseke hatutakuwa naye msimu ujao baada ya kupata dili nchini Afrika Kusini kucheza Mpira wa kulipwa na kuzima tetezi ambazo zinadai kuwa taunga…
KUNDI A: YANGA R. SHOOTING MBEYA CITY MBAO FC KUNDI B: SIMBA SINGIDA UTD STAND UTD NJOMBE MJI KUNDI C: AZAM MTIBWA SUGAR MWADUI MAJIMAJI KUNDI D: PRISONS LIPULI FC KAGERA SUGA…
Mwamuzi Aden Marwa ametimuliwa na Fifa kutoka katika list ya waamuzi watakaochezesha michuano ya Kombe la Dunia 2018 nchini Russia kutokana na kubambwa akipokea rushwa ya $600 (Tshs 1.3m).
club ya arsenal kutokea london england imetambulisha jezi zao mpya zitakazo tumika katika mechi za ugenini msimu ujao. arsenal imetoa jezi hizo ikiwa ni kawaida kwa timu kuonyesha jezi mpya za …
Mshambuliaji Nicklas Bendtner ameondolewa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Denmark kitakachokwenda Urusi kushiriki fainali za kombe la dunia, zinazotarajiwa kuanza Juni 14.
Kiungo wa klabu ya Shakthar Donetsk na timu ya taifa ya Brazil, Frederico Santos maarufu kama Fred, anatarajiwa kukamilisha usajili wake wa kujiunga na Manchester United ndani ya masaa 24 yajayo.
Kuendelea kufanya vibaya kwa kikosi cha mabingwa wa zamani wa Tanzania bara Young Africans, kumewafanya wadau soka nchini kuwa katika hali ya taharuki, huku wakijiuliza kulikoni nd…
Social Plugin