MICHAEL MTANZANIA

ONESTEPMEDIATZ

LECHANTRE AIGOMEA SIMBA NUSU FAINALI DHIDI YA KAMEGA


ocha Mkuu wa Simba, Pierre Lechantre akiwa  jukwaani  na msaidizi wake, Mohamed Habibi.
Kocha Mkuu wa Simba, Pierre Lechantre leo amekaa jukwaani Simba ikicheza mechi ya nusu fainali ya Kombe la SportsPesa Super Cup dhidi ya Kakamega Homeboyz.

Simba inaivaa Kakamega Homeboyz katika mechi ya nusu fainali ya SportPesa Super Cup kwenye Uwanja wa Afrah, muda huu.
Taarifa zinaeleza, kuna mgomo baridi kutoka kwake na msaidizi wake, Mohamed Habibi.
Hivyo Simba itaingozwa na Masoud Djuma, msaidizi ambaye
KIKOSI CHA SIMBA VS KAKAMEGA HOMEBOYZ LEO
1. Aishi Manula
2. Shomari Kapombe
3. Mohammed Zimbwe
4. Paul Bukaba
5. Erasto Nyoni
6. Jonas Mkude
7. Shiza Kichuya
8. Muzamiru Yassin
9. Mohammed Rashid
10. Rashid JUma
11. Haruna Niyonzima
1. Salim Ally
2. Ally Shomari
3. Yusuf Mlipili
4. Mohammed Ibrahim
5. Marcel Kaheza
6. Adam Salamba

Post a Comment

0 Comments