MICHAEL MTANZANIA

ONESTEPMEDIATZ

ARSENAL WATAMBULISHA JEZI ZAO MPYA ZA UGENINI MSIMU UJAO

club ya arsenal kutokea london england imetambulisha jezi zao mpya zitakazo tumika katika mechi za ugenini msimu ujao.
arsenal imetoa jezi hizo ikiwa ni kawaida kwa timu kuonyesha jezi mpya za ugenini na nyumbani pindi uzamin wa club unapoitaji kutokana na biashara 

Post a Comment

0 Comments