MICHAEL MTANZANIA

ONESTEPMEDIATZ

SIMBA YAFUZU FAINALI SPORTPESA SUPER CUP, NI KWA PENALTI 5-4 MKUDE AMALIZA KAZI

Mabingwa wa soka Tanzania, Simba wamefuzu kucheza fainali ya SportPesa Super Cup baada ya kuichapa Kakamega Homeboyz kwa mikwaju 5-4.

Mechi hiyo iliisha kwa sare ya bao 0-0 katika hatua ya dakika 90 za kawaida.

Baada ya hapo ikawa ni mikwaju ya penalti na wachezaji wote watano wa Simba walifunga wakiongozwa na Jonas Mkude ambaye alifunga penalti ya mwisho.



WALIOPATA PENALTI SIMBA;
Niyonzima PATA
Nyoni PATA
Kapombe PATA
Kichuya PATA
NA JONAS MKUDE

Post a Comment

0 Comments