Mwamuzi Aden Marwa ametimuliwa na Fifa kutoka katika list ya waamuzi watakaochezesha michuano ya Kombe la Dunia 2018 nchini Russia kutokana na kubambwa akipokea rushwa ya $600 (Tshs 1.3m).
Mwamuz huyo alirecodiwa video na mwandishi wa Habari ambaye alijifanya ni ofisa wa Chama cha soka cha Ghana, alibambwa akisema “nashukuru kwa zawadi hii, unajua ni muhimu sana kuboresha urafiki wetu”
Mwamuzi huyo sasa amekosa $25,000 (zaidi ya TZS 55m) ambazo angepata kwa kuchezesha Kombe la Dunia sambamba na bonus ya $2,000 kwa kila mechi atakayokuwepo.
0 Comments