Kocha Zahera Mwinyi baada ya kuwasili kwa lengo la kuifundisha klabu ya Yanga ilionekana alikuwa bado hajasaini mkataba, hatimaye kocha huyo amesaini mkataba wa kuifundisha klabu hiyo.
Kuelekea mechi ya Simba SC dhidi ya Kagera Sugar, Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba, Haji Manara, amesema atajitolea kuwalipia mashabiki kiingilio.
Kocha Mtarajiwa wa Yanga, Mkongomani Mwinyi Zahera, ameondoka nchini kuelekea kwao Congo kwa ajili ya majukumu ya timu ya taifa.
Good news kwa mashabiki wa soka la bongo imetangazwa leo baada ya kuzinduliwa kwa mashindano ya SportPesa Super Cup 2018 na kutangaza kuwa kwa mwaka 2018 michuano hiyo itachezwa Nairobi …
Na Mohamed Mansour Nassor Mashindano ya Kombe la dunia la watoto wa mitaani chini ya shirika la Steet Child United na udhaamini wa makampuni tofauti na taasisi tofauti lakini zaidi kampuni ya maw…
Mwenyekiti wa zamani wa klabu ya Simba, Ismail Aden Rage, ametoa siri ya Yanga kushindwa kupata alama tatu dhidi ya Rayon Sports katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika uliochezwa Uwanja wa …
Meneja wa Tottenham Mauricio Pochettino yuko tayari kuwakataa Chelsea kwa sababu anasema ana furaha kuwa na klabu yake. (Star)
Utamu wa Ligi Kuu Bara umefika pazuri na ndiyo pazia la ligi hiyo linaelekea kufungwa kwa msimu wa mwaka 2017/18 huku Simba ikiwa imesaliwa na pointi moja kuweza kutangazwa kuwa bingwa r…
Na George Mganga Shirikisho la Soka Tanzania Bara (TFF) limeeleza sababu za msingi zilizowafanya kumualika Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kama mgeni ras…
Sumumwilini hutokana na vile vitu au vyakula ambavyo binadamu hutumia huenda kwa kujua au kutokujua. Sumu hizo pia huweza kuchangiwa na matumizi ya yasiyosahihi ya dawa mbalimbali.
MSIMAMO WA KUNDI D BAADA YA MCHEZO WA JANA KATI YA YANGA VS RAYONSPORT
Kiungo wa zamani wa Simba, Patrick Mutesa Mafisango kesho Alhamisi anatimiza miaka sita kaburini katika wiki ambayo Simba inabeba kombe jingine tangu yeye afariki.
Matokeo ya suluhu kwenye mchezo wa Yanga dhidi ya Rayon Sports katika Kundi B la michuano ya kombe la shirikisho Afrika bado Yanga ina nafasi ya kufanya vizuri kwenye kundi hilo kutokana na matokeo…
Kwenye fainali ligi ya europa champions league cluba ya Merseleile imekubali kichapo cha bao 3-0 dhidi ya Atlectico Madrid mchezo uliochezwa usiku wa kuamkia leo katika uwanja wa Groupama Stadiu…
Timu ya soka ya Tanzania ya watoto wa kike wanaoishi katika mazingira magumu, imefungwa kwa mbinde goli 1-0 na timu ya Brazil katika fainali ya Kombe la Dunia( Street Children World Cup)
KUNA kumlipua mtu, lakini huku kulipua kwingine ni sawa na kurusha bomu la nyuklia kwenye nyumba ya adui yako na kuisambaratisha kiroho mbaya.
Harry Kane, moja ya washambuliaji bora kabisa duniani akiwa na umri wa miaka 24. Muingereza huyu anasifika kwa kutikisa nyavu akiwa uwanjani amechezea Tottenham, michezo 149, na kufunga mabao 1…
mshambuliaji wa yanga obrey chirwa akimiliki mpira dhidi ya rayon sport: mchezo uliochezwa katika uwaja wa Taifa jijini Dar es salaam na kumalizika kwa yanga kulazimishwa sare wakiwa nyumbani …
Social Plugin