Kwenye fainali ligi ya europa champions
league cluba ya Merseleile imekubali kichapo cha bao 3-0 dhidi ya Atlectico Madrid
mchezo uliochezwa usiku wa kuamkia leo katika uwanja wa Groupama Stadium majira
ya saa 9:45 siku.
Magoli ya atlectico Madrid yamewekwa kimyani na
mshambuliaji wake Antonio greyzmani katika dakika ya 21 na dakika ya 49 huku
gabi akimalizia goli la kuwanyong’onyeza marseleile katika dakika ya 89 na
kumalizika kwa dakika 90 kwa matokeo ya 3-0.
Antoine Griezmann amekuwa shujaa wa Atletico Madrid baada ya kuwatupia wenyeji wa ufaransa mabao mawili na kupelekea timu klabu yake kushinda mara ya tatu katika msimu wa tisa.
Atlectical wanafikisha kombe la tatu ligi ya europa tangu walipochukua
mwaka 2010 kisha mwaka 2012
0 Comments