Kila mwaka Shirika la Afya Duniani ‘WHO’ hutoa ripoti ya hali ya Mazingira Duniani ambapo mwaka 2017 WHO pia imetoa list mpya ya miji 38 michafu na yenye hali mbaya ya hewa barani Africa…
Mvuvi mmoja nchini Australia ameelezea jinsi papa mwenye uzito kilo 200 alivyoruka ndani ya boti lake na kumjeruhi mkono.
Ulozi! Siku chache tangu liibuke sakata la mchanga wa madini (makanikia), kufuatia ripoti ya kamati maalum iliyoundwa na Rais Dk John Pombe Magufuli kusomwa na kuibua mazito, Askofu wa Kanisa …
Diamond Platnumz amefunguka kwa kudai kuwa hataki mtoto wake wa kike Tiffah awe msanii kwa madai akiwa msanii atatembea kimapenzi na wanaume wengi. Muimbaji huyo amedai mtoto wake huyo akiwa…
Baada ya kupata udhamini wa mamilioni kutoka kwa Kampuni ya kubashiri ya SportPesa sasa Klabu ya Singida United ni mwendo wa kusajili tu wachezaji wa kimataifa. Ibrahim Ajib Kwani baada ya k…
Katika kipindi cha #Clouds360 kinachoendelea muda huu, msanii #RomaMkatoliki ameonyesha kukasirishwa na kitendo cha Mh Kessy ( Mbunge wa Jimbo la Nkasi ) kutaja jina lake Bungeni na kudai …
Hazijafika saa 72 toka mwimbaji wa Bongofleva Diamond Platnumz aachie wimbo mpya ambao unagusia yanayoendelea sasa hivi Tanzania ambapo baada…
Septemba 18, 2015, kwa mara ya kwanza Davido alitweet kueleza ujio wa collabo yake na Joh Makini. April 3, 2017, Davido pia alipost picha Instagram inayoonesha kuwa wawili hao wameshoot video ya …
Msanii wa muziki nchini anayefanya vizuri na wimbo ‘Komela’ Dayna Nyange amechukua tuzo mbili za BEA nchini Nigeria zilizotolewa weekend iliyopita. Muimbaji huyo amechua tuzo ya Best African Art…
Watu wapatao 100 ikiwa ni pamoja na watoto 25 wameuawa nchini Syria kufuatia mashambulizi ya kemikali katika maeneo yanayodhibitiwa na waasi.
Zaidi ya watu 10 wanadhaniwa kufariki katika ajali ya boti ya wavuvi Zanzibar Taarifa zilizotufikia muda huwa kuwa watu zaidi ya kumi wanadhaniwa kufariki katika ajali ya
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Freeman Mbowe amtuhumu Rais John Magufuli pamoja na waziri Mkuu Kassi Majaliwa kuhusika kwa alichodai kuwa ni kuekukwa kwa taratibu za uchaguzi.…
Waziri mwenye dhamana ya michezo Dr. Harrison Mwakyembe amekuja juu baada ya kusikia kwamba timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 17 ‘Serengeti Boys’ ilishushwa kwenye maba…
Eric Shigongo ameendelea kutoa ushauri kwa Alikiba na uongozi wake Soma alichoandika awamu hii: Kama nilivyosema kwa Diamond kwenye ushauri wangu kwamba alifikishwa hapo alipo na mashabiki …
Wabunge wa CCM wameitaka Serikali kutoa majibu sahihi bungeni kuhusu utambulisho wa mtu aitwaye Daudi Bashite. Sakata hilo liliibuka juzi katika kikao cha wabunge wa CCM kilicho…
MABINGWA watetezi wa ligi kuu ya Tanzania Yanga SC inayoongoza ligi mpaka sasa kwa tofauti ya pointi moja dhidi ya mahasimu wao Simba huku kila timu ikibakiwa na mechi tano kumalizika msimu h…
Salamu za pongezi zimeendelea kumiminika kwa aliyekuwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (Nimr), Dk Mwele Malecela baada ya kuteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Vituo v…
Kwa sasa umekuwa ni mtindo wa kawaida watu kuwafungulia watoto wao akauti Instagram ili kuwawekea picha zao. Leo ningependa kukuletea top ten ya watoto wa wastaa ambao wapo Instagram, orodha imep…
Social Plugin