Zilianza kama tetesi kwamba kocha aliyepita wa PSG Unai Emery atachukua mikoba ya Arsene Wenger pale Arsenal, lakini moja kati ya vikwazo vikubwa kwa Emery ikawa ni lugha na inadaiwa Emery h…
Hispania ilifuzu kucheza fainali za kombe la dunia 2018, ikitokea ukanda wa barani Ulaya, ikiongoza msimamo wa kundi G (Kundi la 7), ambalo lilikua na timu za Italia, Albania, Israel, Macedon…
Aliyewahi kuwa Kocha Msaidizi ndani ya Simba, Jamhuri Kihwelo 'Julio' amepinga suala la Mwanachama atakayetakiwa kugombea nafasi ya urais ndani ya klabu hiyo mara baada ya mfumo wa kisasa…
Uongozi wa klabu ya Yanga kupitia Msemaji wake, Dismas Ten, umepuuzia taarifa zilizoenea mitandaoni na katika baadhi ya vyombo vya habari zikieleza kuwa mapato ya fedha yaliyotokana na uuzaji wa …
Mtu mmoja aliyetambulika kwa jina la Maricha Mniko(30) Mkurya dereva na mkazi wa Tandala Wilayani Makete anashikiliwa na jeshi la polisi Mkoani Njombe kwa tuhuma za kujifanya ni Mkuu wa Jeshi l…
Wakati hali ya kiuchumi Yanga ikionekana kuwa mbaya kwa siku za hivi karibuni, inaelezwa kuwa fedha zilizotokana na mauzo ya jarida pamoja na kalenda za klabu hiyo zimeishia mifukoni kwa matumiz…
Uongozi wa klabu ya Simba umeweka wazi kuhusiana na kile kitakachofuata ili kukamilisha rasmi mchakato wa mabadiliko ya uendeshwaji wa klabu hiyo kwa mfumo wa hisa.
Kikosi cha Timu ya Taifa ya Vijana chini ya miaka 20, Ngorongoro Heroes, kimekubali kichapo cha mabao 4-1 dhidi ya Mali katika mchezo wa marudiano wa kufuzu kuelekea AFCON (U20) uliopigwa kwenye …
Taarifa zinaelezaa kuwa Kocha Mkuu wa Singida United, Kocha Hans van der Plujim ameuaga uongozi wa klabu yake ya Singida kwa madai ya kuwa anaondoka.
Social Plugin