Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Sophia Simba afukuzwa uanachama kwa kosa la usaliti huku Adam Kimbisa na Dk Emmanuel Nchimbi wakipewa onyo kali. Sophia Simba Habari zinazid…
Jana malkia wa muziki Bongo, Shilole ameachia wimbo wake mpya uitwao Hatutoi Kiki. Kama zilivyo ngoma zake zilizopita, ngoma hii pia imeandikwa na Barnaba Classic. Kwenye interview na kipindi…
Shirikisho la Soka Duniani-FIFA kila mwezi kwa sasa limekuwa likitoa viwango vipya vya ubora duniani ambavyo vinaonyesha baadhi ya mataifa kupanda katika nafasi . Kwa upande wa orodha ya jumla, A…
Jeshi la Polisi linawashikilia watu watatu akiwemo Keneth Nhizi (41), Venance Chisumuni, (43) wakazi wa Ng’hong’honha na Augustino Mlowa (27), mkazi wa Pushipark wilayani Musoma mkoani Mara ambaye ni…
Serikali ya mkoa wa Dodoma imeingia makubaliano na kampuni ya saruji ya Dangote kuuza saruji katika ujenzi wa miji mipya ya makao makuu ya nchi (Dodoma). Akizungumza na waandishi wa habari mjin…
Kamishna wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Simon Siro amesema jeshi hilo bado linawashikilia Wasanii maarufu wa muziki wa kizazi kipya akiwemo Vanessa Mdee ambaye alikamatwa juzi (Jumatano) na Rummy…
Jeshi la Polisi limeanza uchunguzi mkali kuwatafuta waliohusika kufanikisha mauaji ya kinyama ya Samira Masoud (34), ambaye ni mke wa mwanajeshi wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ). Kamanda wa…
Tunda Man adai kuna wasanii ‘feki’ wanapewa promo kubwa kuliko wasanii wuwezo Msanii mkongwe wa muziki kutoka Tip Top Connection Tunda Man amedai kuna wasanii wengi hawajui muziki lakini wan…
KATIBU Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Antonio Guterres ameisifu Serikali ya Tanzania kwa jitihada zake za kutafuta amani nchini Burundi. Guterres alitoa pongezi hizo wakati aliposimama kwa mud…
VINASABA vya faru John vinatarajiwa kupelekwa nchini Afrika Kusini kwa vipimo vya vinasaba (DNA ) muda wowote kuanzia wiki hii baada kupatikana kwa mfadhili wa kulipia gharama…
Wanasheria wawili wa jijini Dar es Salaam, Tundu Lissu na Lawrence Masha wamesema wataiomba mahakama kuwajumuisha kama wadaiwa katika kesi za kupinga uchaguzi wa viongozi wa Chama cha Wanasheria …
Mashabiki wa soka wa Tanzania ambao wanafuatilia kwa karibu maendeleo ya soka la nahodha wao wa timu ya taifa ya Tanzania Mbwana Samatta akiwa na timu yake ya KRC Genk ataifanyia nini katika mch…
Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli amekuwa akisifika kutokana na utendaji kazi wake lakini pia ni moja kati ya viongozi ambao wanaweza kuongea na wa…
Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein amesema serikali yake haitishiki na tishio la kukatiwa umeme na iko tayari kutumia vibatari na deni linalodaiwa sio la le…
Mdogo wake na mchungaji Josephat Gwajima wa Kanisa la ufufuo na uzima, Methusela Gwajima amesema mchungaji huyo anatakiwa aache kutumika na kuhoji kuna nani nyuma yake. . . …
Suala la nguvu za kiume kwa sasa limeshakuwa ishu kubwa kwa vijana wengi wa sasa,kwa utafiti uliofanywa mwaka 2013 na shirika la Afya duniani unaonesha kuwa zaidi ya asilimia themanini ya wana…
Remy Ma amewashangaa watu wanaofurahia kuona yeye na Nicki Minaj wakichanana kupitia nyimbo zao. Akiongea kwenye kipindi cha Another Round, rapper huyo amesema, hajutii kwa alichokifanya k…
Oparesheni ya wafanyabiashara wa viroba inayoendelea nchini, imesababisha Mfanyabiashara mmoja ajiue kwa kujipiga risasi kichwani. Mfanyabiashara huyo ni mmiliki wa kampuni ya Mselia…
Social Plugin