MICHAEL MTANZANIA

ONESTEPMEDIATZ

MFAHAMU YULE MNAEMUITA JINAMIZI "BANGUNGUTI"

Bangungut ni neno la kiphilipino kwa kiswahili hujulikana kama JINAMIZI ambapo huaminika ni jitu kubwa nzito lenye mfano wa mtu ambalo hukaa kifuani kwa mtu wakati anapo kuwa amelala haswa wakati wa sleeping paralysis

hali hii inatokea pale mtu unapokuwa umelala na unajitambua lakini mwili unakuwa mzito na hauwezi kunyanyuka huwa wengi ikisha watokea hali hii hujawa na hofu na kuupelekea ubongo kutengeneza mawazo yanayo ambatana na picha kuwa kuna kitu cha kutisha
👉
sasa ukisha tengeneza hiyo picha machoni mwako utaona "Bangunguti/ Jinamizi" lina kuja au limekukalia kifuani na kukukaba kitu ambacho kina fanya mwili kuwa mzito haswa kifua na pumzi inakuwa ya tabu sana
unambiwa hili Bangunguti ni hatari kwasababu lina 10% ya kukusababishia kifo hususani pale unapo shtuka ghafla ukiwa katika hali hiyo hivyo inauwezo wa kukusababishia heart attack (mshtuko wa moyo) na kufa ndo maana mda mwingine unamkuta mtu amelala salama lakini ana amka malehemu.
👉
Watalamu wa mambo wanashauri endapo kama hali hii ya Bangungut inakutokea usiangaike inakubidi ufumbe macho kwa utulivu kisha chezesha kidole chako chochote utakuwa salama
pia jiepushe sana na stress wakati unapokuwa unaenda kulala.

Post a Comment

0 Comments