Kupitia mtandao wa Twitter wa Mwandada huyo ameonesha mapenzi ya wazi wazi ya ushabiki wake kwa Mwanamuzili Aslay kwa kuandika "Aslay ni Mfalme wangu wa Bongo Fleva🙌🏿🙌🏿 Ni Moto🔥Anaunguz…
Mwanaume mmoja nchini Zimbabwe amekamatwa kwa kujaribu kutaka kumfanyia mtihani wa sekondari mpenzi wake. Mtu huyo alivalia mavazi ya kike na kuweka nywele bandia pamoja na kupaka rangi mdomo ili …
5. Juventus. Msimu huu walionekana bora sana na walitabiriwa na wengi kwamba huenda wangeweza kuchukua ubingwa wa Champions League lakini wakafungwa na Real Madrid.
Social Plugin