Kila mwaka Shirika la Afya Duniani ‘WHO’ hutoa ripoti ya hali ya Mazingira Duniani ambapo mwaka 2017 WHO pia imetoa list mpya ya miji 38 michafu na yenye hali mbaya ya hewa barani Africa…
Mvuvi mmoja nchini Australia ameelezea jinsi papa mwenye uzito kilo 200 alivyoruka ndani ya boti lake na kumjeruhi mkono.
Ulozi! Siku chache tangu liibuke sakata la mchanga wa madini (makanikia), kufuatia ripoti ya kamati maalum iliyoundwa na Rais Dk John Pombe Magufuli kusomwa na kuibua mazito, Askofu wa Kanisa …
Diamond Platnumz amefunguka kwa kudai kuwa hataki mtoto wake wa kike Tiffah awe msanii kwa madai akiwa msanii atatembea kimapenzi na wanaume wengi. Muimbaji huyo amedai mtoto wake huyo akiwa…
Baada ya kupata udhamini wa mamilioni kutoka kwa Kampuni ya kubashiri ya SportPesa sasa Klabu ya Singida United ni mwendo wa kusajili tu wachezaji wa kimataifa. Ibrahim Ajib Kwani baada ya k…
Social Plugin