MICHAEL MTANZANIA

ONESTEPMEDIATZ

Alichokiandika Ridhiwani Kikwete baada ya Kenya, Uganda kupost Will Smith yupo kwao

March 6 2016 ziliripotiwa stori za staa kutoka Marekani amekuja Tanzania kwa mara ya pili hii ni baada ya picha yake aliyopiga Airport Arusha kusambaa kwenye kitandao ya kijamii, Will Smith alidaiwa kuwa anaelekea mbuga za wanyama Serengeti.

Headlines zimekuwa nyingi kuhusiana na Will Smith kuja Tanzania lakini nchini Kenya Ghetto Radio wameripoti kuwa ‘Will Smith in Kenya’ ambapo ilikuwa ni March 3 2017, Uganda wameandika ‘Hollywood Movie Star @willsmith has made a call on Uganda Africa #ugandatourism

Post ambazo zimeandikwa na mitandao ya kijamii ya Kenya zinaonekana au zinadaiwa kama kupotosha na kulazimisha ionekane staa huyo amekuja nchini kwao lakini zikitumika zile zile picha ambazo ziliripotiwa kuwa alikuwa ni Tanzania, mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete ametumia ukurasa wake wa instagram kuyaandika haya…..

 “Yaaani ni haya mambo yanaweza sababisha watu wasiongee ! Sasa kila nchi ya ukanda huu inadai alikuwapo kwao. Ninachojua mie alikuwa Arusha,Tanzania na hii picha a

Post a Comment

0 Comments